- Kamati ya maadili ya (CAF) imemfungia kwa miezi (12) afisa wa klabu ya RS Berkane 🇲🇦 Majid Madrane kwa kosa la kuleta fujo na kuingia kwenye pitch kwenye Mchezo dhidi ya Simba sc kwa Mkapa.
.
.
Pia kamati hiyo imeitoza klabu ya RS Berkane faini ya Tsh 230 Milioni kwa kosa hilo.
ADHABU 03 KALI KWA RS BERKANE ...
.
1. Katika mechi iliyochezwa 27 February 2022, Simba wakiwa ugenini, mashabiki wa RS Berkane waliwashambulia wachezaji wa Simba kwa kurusha chupa.
.
Berkane wamepigwa faini ya dola 8000.
.
2. Katika mchezo wa Dar es Salaam, Ofisa wa Berkane aliingia uwanjani na kuzuia mchezo kwa takribani dakika 5 huku akiwataka wachezaji kuungana naye kugoma kwa madai mwamuzi anawaonea.
.
Bodi ya nidhamu ya CAF, imeamua kumfungia kwa miezi 12, Majid Madrane kwa kitendo chake hicho cha kuingia uwanjani na kufanya vurugu huku akizuia mchezo.
.
3. RS Berkane kama klabu, wakumbana na faini ya dola 100,000 kutokana na kitendo hicho cha Madrane kuzuia mchezo.
.
IKUMBUKWE :
- Baada ya mechi ya Dar es Salaam, Berkane waliwasilisha barua ya kulalamika kuonewa huku malalamiko yakielekezwa kwa mwamuzi Jaques Ndala Ngambo wa Congo, ambaye bado anaendelea kupiga mzigo kama kawaida
Cc; Tom Cruz/ Priscakishamba
0 Comments