"Sisi hatumuogopi Fiston Mayele kwakuwa tulikutana na wachezaji wakubwa zaidi yake kama Ramadan Sobi wa Pyramids
lakini kufurukuta, Mayele ni wa kawaida sana ama kuwa anacheza timu yenye mashabiki wengi ndio maana anaimbwa sana, ana magoli 9 tu,, Masikini akipata ?"
"Mchezo wetu unaofuata Azam Fc ni dhidi ya Yanga sc utakuwa wakawaida na wala hatuutolei macho kwani sisi tumezidiwa points nyingi na Yanga,Kwa hiyo hata tukishinda Mchezo huo au kupoteza haitatusaidia kitu" - Zakazakazi, Afisa habari wa klabu ya Azam FC.
0 Comments