Bruno Fernandes kuongeza mkataba Klabuni Manchester United

Manchester United wanakaribia kumuongezea mkataba Bruno Fernandes. Mafanikio katika mazungumzo wiki iliyopita - makubaliano sasa yako katika hatua za mwisho baada ya mazungumzo kufunguliwa Julai iliyopita. 🔴🇵🇹 #MUFC

Man United wanamtaka kama mchezaji muhimu kwa siku zijazo..

Chanzo Fabrizio 

Post a Comment

0 Comments