Kocha Mkuu wa Yanga, Nabi Mohammed ameanza mapumziko nchini kwao Ubelgiji lakini amechukua tahadhari kubwa. Amesisitiza kwamba ameacha vyuma vyake kikiwemo Fiston Mayele kinajinoa na anaamini mambo yakienda alivyopanga mechi ya Azam itakuwa nyepesi kwake.
Nabi alienda mbali kwa kusisitiza kwamba kila siku atakuwa anafuatilia kujua maendeleo lakini akirejea atakagua ubora wa mchezaji mmoja baada ya mwingine na kama kuna aliyemdanganya kazi anayo. [Akilimbia Mwanaspoti.]
0 Comments