Eric ten Hag to Manchester United

Manchester United wamemhoji Erik ten Hag, imethibitishwa kwa mujibu wa Daily Mail. Mkutano ulifanyika wiki hii. 🔴 "MUFC"

Man Utd wamefurahishwa na uwezo wake wa kuongea lugha ya Kiingereza - lakini uamuzi wa mwisho utahusisha mambo mengi.

Wakati wa kikao, Erik ten Hag alitaka kusikia kuhusu bajeti ya Manchester United na mipango ya siku zijazo. Kiwango chake cha Kiingereza sasa kimeimarika - Erik ten Hag anahisi yuko tayari kujaribu uzoefu wa Ligi Kuu EPL hivi karibuni. 🔴 #MUFC

Man United pia itakutana na makocha wengine. Mchakato bado unaendelea... #binagoupdates

Chanzo Fabrizio

Post a Comment

0 Comments