Klabu ya Yanga yavunja rekodi "mapato makubwa zaidi"

- Yanga wamekusanya Tsh BILIONI 1 na milioni 600 yaani (1, 659, 293,300) kupitia kadi za Kielektroniki za uanachama katika zoezi linaloendelea katika klabu hiyo.

Ni jumla ya wanachama elfu 57 yaani 57, 217 Mpaka kufikia March 25, 2022 walikuwa tayari wamejiandikisha na kupata kadi zao kama ifuatavyo katika klabu hiyo.

▪️4,789 = Dar es Salaam.
▪️3,780 = Zanzibar.
▪️3,596 = Morogoro.
▪️3570 = Dodoma.
▪️29,60 = Tanga.
▪️2,979 = Mwanza.
▪️2,790 = Mtwara.
▪️2,780 = Kigoma.
▪️2,780 = Pwani.
▪️2,698 = Lindi
▪️2600 = Mara
▪️2266 = Kilimanjaro.
▪️1,892 = Arusha.
▪️1998 = Iringa
▪️1,960 = Kagera.
▪️1,980 = Mbeya.
▪️1,892 = Arusha.
▪️1,890 = Singida.
▪️1,870 = Tabora.
▪️1,702 = Rukwa.
▪️1,670 = Shinyanga.

▪️997 = Njombe
▪️992 = Katavi.

- Kila kadi inauzwa Tsh elfu 29, baada ya zoezi hilo kukamilika litakuja zoezi la kadi kwa ajili ya Mashabiki.

Cc; Tom Cruz/ BINAGO TV

Post a Comment

0 Comments