Mshambuliaji wa klabu ya Man United U18 Alejandro Garnacho (17) akiwa kambini na timu ya Taifa ya Argentina 🇦🇷
Kinda huyo hajapandishwa kwenye kikosi cha wakubwa cha Man Utd lakini tayari ameitwa kwenye timu ya Taifa
Alejandro mwenye asili ya Argentina 🇦🇷 amezaliwa jijini Madrid, Hispania na kuanzia soka lake Atlético 🇪🇸 kabla ya kujiunga na Man United mwaka 2020
Argentina 🇦🇷 wameamua kumshawishi mapema bwana Mdogo 😋
0 Comments