Greenwood is back

Breaking news;  Mason Greenwood atakuwa sehemu ya kikosi cha Man United msimu ujao na ataanza tena kuichezea klabu hiyo baada ya miezi sita.

 Yeye pamoja na nambari ya kikosi chake imeongezwa kwenye tovuti rasmi ya Man United.

.kulingana na GMP hakuna ushahidi uliopatikana dhidi ya Greenwood na hivi karibuni ataachiliwa kutoka kwenye mashitaka yote yaliyomkabili.

Manchester United imekuwa ikimlipa mshahara wake wote na itaongeza mkataba wake kwa miaka sita zaidi mara tu atakaporejea na kikosi cha kwanza.

Nike pia amewasiliana na Mason Greenwood baada ya taarifa ya GMP kurejea mkataba wa udhamini.

Habari njema kwa mashabiki wa Manchester united. 

(Chanzo BINAGO TV)

Post a Comment

0 Comments