🎸🎼 Rigobert Song 🇨🇲 alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon, amewapeleka World cup akiwa kocha ... Aliou Cisse 🇸🇳 alikuwa mchezaji wa Senegal, amewapeleka World cup akiwa kocha,, Wote wana rasta 😛
.
.
Amri Kiemba alikuwa mchezaji wa Taifastars, ana rasta apewe timu 😆
Via Tom Cruz
0 Comments