Bukayo Saka kuongeza mkataba Arsenal

Arsenal wanaandaa pendekezo lao la ufunguzi wa kurefusha kandarasi ya Bukayo Saka katika miezi ijayo. Mpango haujabadilika: makubaliano mapya yatajadiliwa mwishoni mwa msimu. 📑🔴 #AFC

Kwa upande wa mchezaji, Saka anafuraha sana na maisha yake ya Arsenal.. #binagoupdates

Post a Comment

0 Comments