Haaland kutua Manchester City

🚨 Manchester City wameandaa mfumo wa mkataba ambao utamfanya Erling Haaland kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye Premier League na wametoa mpango wazi wa maisha kwa mshambuliaji huyo. [The i Paper Sport].

Post a Comment

0 Comments