Klabu ya Al Hilal imeiomba CAF kutumia VAR

Klabu ya Al Hilal 🇸🇩 imeiomba CAF kutumia VAR kwenye mechi yao ya mwisho ya makundi ya CAF Champions League dhidi ya Al Ahly Sc 🇪🇬

Mshindi wa mechi hiyo atatinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo,

Refa wa mechi hiyo atakuwa ni Janny Sikazwe 🇿🇲 

Post a Comment

0 Comments