Kocha wa Yanga SC Nabi "kiungo wetu Sure boy yupo vizuri "

Tunaendelea kufurahia ubora wa viungo wetu ambao kiukweli wamekuwa wakifanya kazi nzuri mpaka sasa. Katika mechi zetu kuna wakati tunaweza kumkosa mmoja, lakini bado unaona timu ipo katika kiwango cha ubora,”
.
“Unaweza kuangalia tumemkosa Aucho, ila kuna Sure Boy amekuwa na kazi bora tangu ameingia katika timu. Amekuwa na kitu kikubwa anapocheza na Bangala, Feisal au Mauya. Hiki ni kitu kizuri kwa mustakabali wa timu katika eneo hilo.”

Nasredine Nabi Kocha wa @yangasc 

Post a Comment

0 Comments