"Yanga tutatwaa ubingwa wa ligi kuu mfululizo mpaka (2030), utawala wote wa Rais Samia Suluhu tutatwaa ubingwa"
"Baada ya hapo ndipo tutaangalia ni nani tumpe 🏆 kama tulivyofanya mwaka huu kwenye Mapinduzi cup"
"Kwa sasa Yanga imejijenga 'kiuchumi' kuliko wakati wowote, inakwenda kuwa klabu kubwa zaidi yenye mabadiliko"
🔍 Haji Manara msemaji wa Yanga. #binagoupdates
0 Comments