𝐅𝐄𝐑𝐍𝐀𝐍𝐃𝐄𝐒 𝐊𝐔𝐒𝐀𝐈𝐍𝐈 𝐌𝐊𝐀𝐓𝐀𝐁𝐀 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐂𝐇𝐄𝐒𝐓𝐄𝐑 𝐔𝐍𝐈𝐓𝐄𝐃

𝐅𝐄𝐑𝐍𝐀𝐍𝐃𝐄𝐒 𝐊𝐔𝐒𝐀𝐈𝐍𝐈 𝐌𝐊𝐀𝐓𝐀𝐁𝐀 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐂𝐇𝐄𝐒𝐓𝐄𝐑 𝐔𝐍𝐈𝐓𝐄𝐃

➪Nyota wa Manchester United Bruno Fernandes yuko mbioni kusaini mkataba wa miaka mitano hadi 2027

➪Fernandes alikuwa kwenye mazungumzo na United, hatimaye makubaliano yamefikiwa ambayo yatamfanya asalie Old Trafford kwa muda mrefu zaidi

➪Fernandes alisajiliwa na United Januari 2020 kutoka Sporting CP na amekuwa mchezaji muhimu wa Mashetani Wekundu

➪Katika mkataba wake mpya, mshahara wake wa wiki utaongezeka ambapo atapokea takribani pauni 240,000

➪Wakati akijiunga na Manchester United, Bruno alisaini mkataba wa miaka mitano na nusu ambao ungeweza kuongezwa mwaka mmoja zaidi lakini Man United imeamua kumuongeza mkataba mrefu zaidi


Post a Comment

0 Comments