Kocha mkuu wa Simba SC 🇹🇿 Pablo Franco Martín amepiga chini ofa ya miamba ya soka ya Afrika kusini Orlando Pirates' 🇿🇦 Parate wanamtaka Pablo ili akaingoze klabu hiyo kama kocha wa muda
Kupitia kikao ambacho Pablo alifanya kwa njia ya mtandao na kiongozi wa Orlando Pirates Floyd Mbele, Pablo alimwambia kiongozi huyo kuwa shauku yake ni kushinda mataji akiwa na Simba SC Tanzania msimu huu
Klabu ya Orlando Parates hivi sasa ipo chini ya makocha wasaidizi Fadlu Davids na Mandla Ncikazi baada ya kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wake Josef Zinnbauer hivyo Parate walikuwa wanamtaka Plablo aiongoze klabu hiyo mpaka mwisho wa msimu ndipo asaini mkataba wa muda mrefu kwaajili ya msimu ujao.
...
TANGAZA NASI KWA GHARAMA NAFUU, TUPIGIE 0621663340
0 Comments